Ufafanuzi wa rahisisha katika Kiswahili

rahisisha

kitenzi elekezi

  • 1

    punguza ugumu au utata wa kitu ili kieleweke kwa urahisi.

    sahihisha, sahili

Asili

Kar

Matamshi

rahisisha

/rahisiāˆ«a/