Ufafanuzi wa raia katika Kiswahili

raia

nominoPlural raia

  • 1

    mtu mwenye haki kisheria kwa sababu ya kuzaliwa au kujiandikisha katika taifa fulani na anayeweza kushiriki katika shughuli zote za taifa hilo.

  • 2

    mtu ambaye si askari.

Asili

Kar

Matamshi

raia

/raIa/