Ufafanuzi wa Rais katika Kiswahili

Rais

nominoPlural maRais

  • 1

    kiongozi mkuu kabisa wa nchi ambayo ni jamhuri.

  • 2

    kiongozi wa kuchaguliwa ambaye anasimamia, k.v. shirika, kampuni au chama.

    ‘Rais wa Shirikisho la Kandanda Duniani’

Asili

Kar

Matamshi

Rais

/raIs/