Ufafanuzi msingi wa rajua katika Kiswahili

: rajua1rajua2

rajua1

nominoPlural rajua

  • 1

    matarajio ya kupata kitu fulani.

    tumaini

Asili

Kar

Matamshi

rajua

/raʄuwa/

Ufafanuzi msingi wa rajua katika Kiswahili

: rajua1rajua2

rajua2

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    kuwa na matumaini ya kupata kitu.

    tarajia, tumaini, tazamia, amania, tegemea

Asili

Kar

Matamshi

rajua

/raʄuwa/