Ufafanuzi wa ramisi katika Kiswahili

ramisi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    furahi kwa michezo au mambo mengine yanayoleta furaha.

    terema

Asili

Kaj

Matamshi

ramisi

/ramisi/