Ufafanuzi wa rangaito katika Kiswahili

rangaito

nomino

  • 1

    mvurugiko wa mambo.

    ghasia, fujo, wasiwasi, vurumai, kero, kivangaito

Matamshi

rangaito

/rangaItÉ”/