Ufafanuzi msingi wa rapu katika Kiswahili

: rapu1rapu2

rapu1

nomino

  • 1

    muziki wenye mdundo mkali na ambao mwimbaji huongea harakaharaka kuliko kuimba.

Asili

Kng

Matamshi

rapu

/rapu/

Ufafanuzi msingi wa rapu katika Kiswahili

: rapu1rapu2

rapu2

kitenzi sielekezi

  • 1

    piga muziki wa rapu.

Asili

Kng

Matamshi

rapu

/rapu/