Ufafanuzi wa rarua katika Kiswahili

rarua

kitenzi elekezi

  • 1

    pasua kitu k.v. karatasi, nguo au ngozi vipandevipande bila ya utaratibu maalumu kwa kuvuta.

    chana, pasua, boshoa, nyanyua

Matamshi

rarua

/raruwa/