Ufafanuzi wa rashika katika Kiswahili

rashika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kufanyika bila umakinifu.

Asili

Kar

Matamshi

rashika

/ra∫ika/