Ufafanuzi msingi wa rasimu katika Kiswahili

: rasimu1rasimu2rasimu3

rasimu1

kitenzi elekezi

kishairi

Asili

Kar

Matamshi

rasimu

/rasimu/

Ufafanuzi msingi wa rasimu katika Kiswahili

: rasimu1rasimu2rasimu3

rasimu2

nomino

  • 1

    andiko la awali la kitu chochote.

    ‘Rasimu ya katiba’

Asili

Kar

Matamshi

rasimu

/rasimu/

Ufafanuzi msingi wa rasimu katika Kiswahili

: rasimu1rasimu2rasimu3

rasimu3

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kazi za ofisi kulingana na taratibu na kanuni za utawala.

Asili

Kar

Matamshi

rasimu

/rasimu/