Ufafanuzi msingi wa redio katika Kiswahili

: redio1redio2

redio1

nominoPlural redio

  • 1

    chombo kinachopokea mawimbi ya sauti k.v. ya mtangazaji, kupitia hewani na kumwezesha mtu mwingine kusikia kinachotangazwa.

    mwengoya

Asili

Kng

Matamshi

redio

/rɛdijɔ/

Ufafanuzi msingi wa redio katika Kiswahili

: redio1redio2

redio2

nominoPlural redio

  • 1

    mfumo wa utangazaji kwa kurusha mawimbi ya sauti hewani.

Asili

Kng

Matamshi

redio

/rɛdijɔ/