Ufafanuzi wa refa katika Kiswahili

refa

nominoPlural marefa

  • 1

    mwamuzi wa mchezo k.v. mpira au ngumi.

    mwamuzi

Asili

Kng

Matamshi

refa

/rɛfa/