Ufafanuzi wa refu katika Kiswahili

refu

kivumishi

 • 1

  -enye kimo kikubwa au tambo kubwa.

  ‘Huyu ni mrefu kuliko kaka yake’
  ‘Nyumba ndefu’

 • 2

  -enye kuendelea kwa muda.

  ‘Mazungumzo yake yalikuwa marefu’
  tawili

Matamshi

refu

/rɛfu/