Ufafanuzi wa refusha katika Kiswahili

refusha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~wa

  • 1

    fanya iwe refu.

Matamshi

refusha

/rɛfu∫a/