Ufafanuzi wa rehani katika Kiswahili

rehani

nominoPlural rehani

  • 1

    kitambaa cha hariri chenye mistari myekundu na kahawia.

    methali ‘Bura yangu sibadili kwa rehani’
    debwani

Asili

Kar

Matamshi

rehani

/rɛhani/