Ufafanuzi msingi wa rehema katika Kiswahili

: rehema1rehema2

rehema1

nominoPlural rehema

Kidini
  • 1

    Kidini
    neema anazopata binadamu kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

rehema

/rɛhɛma/

Ufafanuzi msingi wa rehema katika Kiswahili

: rehema1rehema2

rehema2

nominoPlural rehema

Asili

Kar

Matamshi

rehema

/rɛhɛma/