Ufafanuzi wa rejesha katika Kiswahili

rejesha

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    rudisha kitu ulichokuwa umeazimwa au kukopeshwa.

    rudisha

Asili

Kar

Matamshi

rejesha

/rɛʄɛ∫a/