Ufafanuzi wa rejeshi katika Kiswahili

rejeshi

kivumishi

  • 1

    -enye kufanya mambo ya nyuma kurudiwa; -enye kufanya mambo kwa mtindo wa kurudi nyuma.

Asili

Kar

Matamshi

rejeshi

/rɛʄɛ∫i/