Ufafanuzi wa rekebisho katika Kiswahili

rekebisho

nominoPlural marekebisho

  • 1

    sahihisho linalofanywa katika kitu ili kiwe katika hali kilichokuwa nayo mwanzo au hali bora zaidi.

    sahihisho

Asili

Kar

Matamshi

rekebisho

/rɛkɛbi∫ɔ/