Ufafanuzi msingi wa rekodi katika Kiswahili

: rekodi1rekodi2rekodi3

rekodi1

nominoPlural rekodi

 • 1

  sahani ya santuri.

 • 2

  mambo yaliyohifadhiwa kwa kuandikwa.

  kumbukumbu

Asili

Kng

Matamshi

rekodi

/rɛkɔdi/

Ufafanuzi msingi wa rekodi katika Kiswahili

: rekodi1rekodi2rekodi3

rekodi2

nominoPlural rekodi

 • 1

  kiwango cha juu cha ushindi kilichofikiwa, agh. katika mchezo.

  ‘Katika mashindano ya mbio mwaka huu, hakuna rekodi iliyovunjwa’

Asili

Kng

Matamshi

rekodi

/rɛkɔdi/

Ufafanuzi msingi wa rekodi katika Kiswahili

: rekodi1rekodi2rekodi3

rekodi3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  hifadhi mambo kwa maandishi au kwa kuyanasa katika kinasasauti au sahani za santuri kwa ajili ya matumizi ya baadaye.

Asili

Kng

Matamshi

rekodi

/rɛkɔdi/