Ufafanuzi wa reli katika Kiswahili

reli

nominoPlural reli

  • 1

    vyuma vinavyotandikwa juu ya mataruma maalumu ya kupitia garimoshi; njia ya garimoshi.

Asili

Kng

Matamshi

reli

/rɛli/