Ufafanuzi wa rembua katika Kiswahili

rembua

kitenzi elekezi

  • 1

    peleka mboni za macho juu na upande kwa makusudi.

  • 2

    ondoa mapambo ya kitu ili kupoteza uzuri wake.

Matamshi

rembua

/rɛmbuwa/