Ufafanuzi wa renga katika Kiswahili

renga

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu aonekane mpumbavu kwa kumhadaa au kumshawishi akawa anafuata amri tu.

    zuga

Matamshi

renga

/rɛnga/