Ufafanuzi wa ridhaa katika Kiswahili

ridhaa

nominoPlural ridhaa

  • 1

    hali ya kukubali au kutosheka na jambo.

    hiari, idhini, ikibali, ukubalifu, kibali

Asili

Kar

Matamshi

ridhaa

/riða:/