Ufafanuzi wa ridhisha katika Kiswahili

ridhisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu atosheke au akubali.

    kifu, wakifu, tosheleza

Asili

Kar

Matamshi

ridhisha

/riði∫a/