Ufafanuzi wa rihabu katika Kiswahili

rihabu

nominoPlural rihabu

  • 1

    kituo cha kuwatibu mateka kwa kuwapa dawa mbadala au za kuwafanya watulie, au za kutuliza neva zao, kuwashauri, kuwaelekeza, pamoja na kuwaandaa upya kurudi kwa jamii yao wakiwa wametibika.

Asili

Kng

Matamshi

rihabu

/rihabu/