Ufafanuzi wa rima katika Kiswahili

rima

nominoPlural marima

  • 1

    shimo kubwa na refu lililochimbwa, hasa kwa ajili ya kutega, agh. wanyama.

    mwina

Matamshi

rima

/rima/