Ufafanuzi wa rindima katika Kiswahili

rindima

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa sauti yenye mngurumo.

    nguruma, titima, tutuma

Matamshi

rindima

/rindima/