Ufafanuzi wa risala katika Kiswahili

risala

nominoPlural risala

  • 1

    taarifa inayopelekwa kwa mtu au watu fulani ambayo, agh. hueleza haja inayotakiwa.

  • 2

    hotuba fupi inayosomwa mbele ya kiongozi kwa niaba ya kundi fulani la watu ili kutoa maelezo au kuonyesha msimamo wa kundi hilo kwa kiongozi.

Asili

Kar

Matamshi

risala

/risala/