Ufafanuzi msingi wa risasi katika Kiswahili

: risasi1risasi2

risasi1

nominoPlural risasi

  • 1

    aina ya madini yenye rangi ya buluu na kijivu hafifu ambayo ikichomwa huyeyuka kwa urahisi.

Asili

Kar

Matamshi

risasi

/risasi/

Ufafanuzi msingi wa risasi katika Kiswahili

: risasi1risasi2

risasi2

nominoPlural risasi

  • 1

    kitu cha madini ya chuma au shaba chenye umbo la mviringo na chenye ncha mbele, kina baruti ndani ambayo hulipuka na kuifyatua ncha hiyo ikaingia kwenye kitu au mwili uliolengwa.

Asili

Kar

Matamshi

risasi

/risasi/