Ufafanuzi wa risiti katika Kiswahili

risiti

nominoPlural risiti

  • 1

    kipande cha karatasi kinachoonyesha kupokewa au kutolewa kwa pesa.

    stakabadhi

Asili

Kng

Matamshi

risiti

/risiti/