Ufafanuzi wa rithi katika Kiswahili

rithi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    miliki mali au kitu cha mtu aliyekufa na ambaye ana uhusiano wa uzawa au ndoa na mrithi.

  • 2

    pata jambo au ujuzi kutokana na uhusiano na aliyekuwa na jambo hilo au ujuzi huo.

Asili

Kar

Matamshi

rithi

/riθi/