Ufafanuzi wa rizavu katika Kiswahili

rizavu

nominoPlural rizavu

  • 1

    sehemu zilizotengwa na serikali za kikoloni, hususan Kenya, ili kuwa makazi ya watu wanaowakandamiza.

nominoPlural rizavu

  • 1

    mchezaji anayengojea kuingia mchezoni ili kushika nafasi ya mwingine aliyeumia au kuchoka; mchezaji wa akiba.

Matamshi

rizavu

/rizavu/