Ufafanuzi wa riziki katika Kiswahili

riziki

nominoPlural riziki

 • 1

  neema anayoipata kiumbe kutokana na uwezo wa Mwenyezi Mungu.

 • 2

  kitu kinachopatikana kutokana na kazi na humwezesha binadamu kuishi.

  methali ‘Riziki ya paka ipo mapipani’
  methali ‘Riziki kama ajali, huitambui ijapo’
  kuti

Asili

Kar

Matamshi

riziki

/riziki/