Ufafanuzi wa roda katika Kiswahili

roda

nominoPlural roda

  • 1

    kitu kama gurudumu dogo kilichotungwa nchani mwa mlingoti ili kupitishia kamba ya kutwekea tanga au mizigo.

    kapi

Asili

Kre

Matamshi

roda

/rɔda/