Ufafanuzi wa rojorojo katika Kiswahili

rojorojo

kivumishi

  • 1

    -a majimaji au -enye umajimaji, hasa katika chakula.

    ‘Mchuzi rojorojo’
    dabwadabwa, teketeke

Matamshi

rojorojo

/rɔʄɔrɔʄɔ/