Ufafanuzi wa roketi katika Kiswahili

roketi

nominoPlural roketi

  • 1

    chombo kilicho na umbo la bomba kinachopazwa angani na gesi iliyomo ndani yake inapowashwa, agh. hutumika kurushia vyombo vya angani.

  • 2

    chombo cha angani kinachopazwa na chombo hicho, agh. hutumika kufanyia utafiti wa anga.

Asili

Kng

Matamshi

roketi

/rɔkɛti/