Ufafanuzi wa rombeza katika Kiswahili

rombeza

kitenzi elekezi

  • 1

    enda katika nyumba za watu saa za chakula kwa madhumuni ya kudoea.

    buga, rondea, doea, doya, pandia

Matamshi

rombeza

/rɔmbɛza/