Ufafanuzi wa rondea katika Kiswahili

rondea

kitenzi elekezi

  • 1

    pekuapekua mahali ili kutafuta kitu kilichojificha.

  • 2

    fika mahali fulani kwa makusudi ya kudoea.

    buga, rombeza

Matamshi

rondea

/rɔndɛja/