Ufafanuzi wa ropoka katika Kiswahili

ropoka

kitenzi elekezi

  • 1

    sema maneno mengi na yasiyokuwa na maana.

    bwata, bubujika, rereja, payapaya, payuka, bwabwaja, boboka, hambarara

Matamshi

ropoka

/rɔpɔka/