Ufafanuzi wa rubaa katika Kiswahili

rubaa

nomino

  • 1

    kikundi cha watu wenye uhusiano wa jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

rubaa

/ruba:/