Ufafanuzi msingi wa rudi katika Kiswahili

: rudi1rudi2rudi3rudi4

rudi1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana

 • 1

  enda ulikotoka; fika tena mahali ulipokuwa umepaondoka.

  ‘Amerudi jana kutoka Tanga’
  rejea

Asili

Kar

Matamshi

rudi

/rudi/

Ufafanuzi msingi wa rudi katika Kiswahili

: rudi1rudi2rudi3rudi4

rudi2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana

 • 1

  toa malipo ya pesa kwa ajili ya kitu ulichokipokea.

  ‘Nimechukua kitabu, nimemrudi pesa’

Matamshi

rudi

/rudi/

Ufafanuzi msingi wa rudi katika Kiswahili

: rudi1rudi2rudi3rudi4

rudi3

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana

 • 1

  onya mtu, agh. mtoto, aliyetenda jambo lisilofaa asilifanye tena.

  onya, adhibu

Asili

Kar

Matamshi

rudi

/rudi/

Ufafanuzi msingi wa rudi katika Kiswahili

: rudi1rudi2rudi3rudi4

rudi4

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana

 • 1

  (nguo) kuwa fupi kuliko ilivyokuwa awali.

  paa, ruka

Matamshi

rudi

/rudi/