Ufafanuzi wa rudia katika Kiswahili

rudia

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya tena.

    kariri, rejea

Asili

Kar

Matamshi

rudia

/rudija/