Ufafanuzi wa rudiana katika Kiswahili

rudiana

kitenzi sielekezi

  • 1

    rejesha uhusiano baada ya kufarakana.

Asili

Kar

Matamshi

rudiana

/rudiana/