Ufafanuzi wa rufaa katika Kiswahili

rufaa

nominoPlural rufaa

  • 1

    maombi yanayopelekwa kwenye baraza au mahakama yenye mamlaka zaidi ili kukataa uamuzi uliokwisha kufanywa.

    ‘Mahakama ya rufaa’

Asili

Kar

Matamshi

rufaa

/rufa:/