Ufafanuzi wa ruhusa katika Kiswahili

ruhusa

nominoPlural ruhusa

 • 1

  idhini ya kufanya jambo.

  ‘Toa ruhusa’
  ‘Nyima ruhusa’
  ‘Omba ruhusa’
  ikibali, idhini, kibali

Asili

Kar

Matamshi

ruhusa

/ruhusa/