Ufafanuzi wa rukia katika Kiswahili

rukia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

 • 1

  kamata kitu kwa kuruka.

 • 2

  panda gari au chombo kinachokwenda.

  dandia

 • 3

  ingilia mazungumzo yasiyokuhusu.

Matamshi

rukia

/rukija/