Ufafanuzi wa rukuu katika Kiswahili

rukuu

kitenzi sielekezi

Kidini
  • 1

    Kidini
    fanya kitendo cha kuinama na kushika magoti wakati wa kusali.

Asili

Kar

Matamshi

rukuu

/ruku:/