Ufafanuzi wa rukwama katika Kiswahili

rukwama, rikwama

nomino

  • 1

    gari la kubebea mizigo lenye magurudumu mawili au manne, linalosukumwa au kukokotwa.

    mkokoteni