Ufafanuzi wa rumada katika Kiswahili

rumada

nominoPlural rumada

  • 1

    vyuma vinavyoshikiza usukani wa chombo cha majini, k.v. jahazi, dau au mtepe.

Matamshi

rumada

/rumada/